4 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAFAA KWA MATUMIZI YA OFISI AU MAKAZI INAPANGISHWA UZUNGUNI JIJINI DODOMA
Ina vyumba vinne
Eletric fensi
Garden
Full Ac
Parking kubwa
Ipo ndani ya fensi
KODI KWA MWEZI ni Tshs. 1,800,000/= ( milioni moja na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"