4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#STAND ALONE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI
NYUMBA INA VYUMBA VINNE (4) VYA KULALA NA KIMOJA MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Full a/c
Parking kuuuuubwaaaa sanaaa
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji 700 au pikipiki 1000
Kodi 500,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712656027