4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(650,000X6)MBEZI KWA MSUGURI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, NJIA NI ZEGE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1 ( DAKIKA 13 KWA MIGUU KUTOKA STEND
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 2 UPO NDANI
SIFA ZAKE:
VYUMBA 4VINNE VYA KULALA VIKUBWA
VIWILI MASTER
SEBULE KUBWA
DINING TABLE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA SANA
UWANJANI PAVING BLOCK
KODI 650,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453