4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA YA WAYA NA GETI LAKE ZURI INAPANGISHWA
BEI NI 600,000/= X 6
=======
π NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
#GARAGE
#PARKING KUBWA
#KAMA MFUGAJI HAPA NDIO MAHALA PAKE KUNA ENEO KUBWA SANA
BEI NI 600,000/= X 6
========
πΉπΏπΉπΏ NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA STAND KUBWA YA MABASI YAENDAYO MKOANI (MAGUFULI BUS TERMINAL) NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
=======...
CONT
0683234124
0718367179