4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


BEI NI TZS 600,000/-x6
NYUMBA KUBWA MNOO YA FAMILIA NA NZURI KWA KUPANGA KWENYE FENSI YA UMEME ZIKO 2 TU NYINGINE NI CHUMBA NA SEBULE TU, HII NYUNBA IKO MBEZI KWA MSUGURI KM 1 TU KUTOKA MOROGORO ROAD.
INA...... 👇🏻
=Vyumba 4 vya kulala (vina makabati)
=Master Bedroom 2 kubwa
=Sebule kubwa mnoo
=Dining
=Jiko lenye makabati
=Stoo
=Public toilet
=Umeme & Maji Dawasco
=Kisima cha maji + tank 2000 ltr
=Garden
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI, PARKING KUBWA MNOO, SEHEMU YA KUCHEZA WATOTO IPO, USALAMA PIA NI WA KUTOSHA
BEI NI TZS 600,000/-X6
ILIPWE MIEZI YOTE SITA(6) NA KUENDELEA
BAJAJI ZIPO UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 TU, BODA 1000 MPAKA MLANGONI PIA KAMA NI MTEMBEAJI MZURI UTATUMIA DK 10-13 KUTOKA KWA MSUGURI MPK MJENGONI.
SERVICE CHARGE TZS 20,000