4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


🚨 Fursa ya Dhahabu! Nyumba ya Kifahari Inauzwa – Mbezi Msuguli, Dar es Salaam 🚨
🏡 GOROFA LA KIFAHARI LA VYUMBA 11 (Master Bedroom Moja)
✅ Kila chumba kina mita ya umeme tofauti+ **fremu 2 (bedi + godoro)
✅ Kodi ya kila chumba: TZS 750,000/= – inagharamia miezi 6
✅ Mapato ya kila mwaka: 11 × 750,000/= × 12 = TZS 99,000,000/= 💰
(Hesabu hiyo ni ya uhakika – biashara ya uhakika!)
---
🛡️ NYUMBA YA CHINI – FAMILIA YA KIFAHARI
✅ Vyumba 4 + Self-Contained 1
✅ Mfumo wa Kamera za Usalama za Uturuki (Bei ya mfumo: TZS 32,000,000/=)
✅ Usalama wa hali ya juu – 24/7 surveillance
---
📍 MAHALI:
Mbezi Msuguli, Msingwa – 1.3 KM tu kutoka Barabara ya Morogoro
🚗 Ufikiaji rahisi, mazingira tulivu, karibu na shule, maduka, hospitali
---
💸 BEI YA JUMBO: TZS 600,000,000/= (Inajumuisha kila kitu!)
(Bei inayofaa kwa mwekezaji au familia inayotafuta anasa na mapato)
---
📞 Njoo Leo!
📍 Mbezi Msuguli, Msingwa – 1.3 KM toka Morogoro Road
☎️ Piga: 0688412890
📲 WhatsApp: 0688412890
⏳ Fursa Haitasubiri – Nyumba Hii Itakwenda Haraka!
#NyumbaInauzwa #MbeziMsuguli #BiasharaYaUhakika #DarEsSalaamRealEstate


















