4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO.
-‐------
Vyumba 4 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Garden safi
Slide window
Mazingila mazuri sana
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 700,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7
-----------
Contact
📞#0785889413
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏