4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#STAND_ALONE MZURI SANA INAPANGISHWA #LOCATION..KIMARA_TEMBONI
KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
KM/ 3 KUIFIKIA NYUMBA
USAFIRI BAJAJI 1000
UKISHUKA BAJAJI UNATEMBEA DK 5
SIFA YA NYUMBA HII
#VYUMBA VINNE (4) VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SANA
#SEBULE
#DINING
#JIKO
#PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
MAJI YANATOKA JIKONI NA CHOONI
SIMTENK KUBWA LAKUIFADHI MAJI
NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
#KODI KWA MWEZI 450 X 6
NYUMBA HII ITAKUAWAZI TAREHE/10/2025
KUONA NAKULIPIA RUKSA
KWENDA KUONA NYUMBA ELFU 20,000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI KAMA UKILIPIA NYUMBA
CONTACT
CALL/WHATSAPP...O677370515