4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







STAND ALONE INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
MAARUFU KITUO CHA POLISI KUTEMBEA DK 15
USAFIRI BODA BUKU MPAKA GETINI
MUUNDO WAKE
INAVYUMBA VINNE VYAKULALA VIKUBWA SANA, KIMOJA MASTAR
INASEBULE KUBWA SANA, NA DINIG
INAJIKO KUBWA SANA FULL MAKABATI, NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPSAM ALUMINIUM
INAGEREJI YAKULAZA GARI
NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
PIA FENSI YAKE UPANDE NI WAYA
ENEOLAKE NIKUBWA SANA, KWAWALE WANAOPENDA KUFUGA
KODI 600,000/ X 6
KUONA NYUMBA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















