4 Bedrooms House for Rent at Mikocheni, Dar Es Salaam


{Nyumba ya ghorofa ina vyumba Vinne vya
Kulala masta moja ina sebule 2 moja chini
Na ingine juu. Jiko na choo cha pabliki ipo mikocheni inakodishwa 1.8m…kwa mwezi
Malipo yake kuanzia. Miezi 6 aipo mbali
Na balabala ya mwai kibaki
*Mpangaji anatoka Jumapili… Kwa sasa .. tutaweza kukagua hadi ndani....nyumba ni } STAND ALONE kwenda. Kukagua nyumba ya
Kupanga tunachaji sh 20000 na malipo ya
Dalali kodi ya. Mwezi. Baada. Ya kulipia
Nyumba. Kwa mawasiliano zaidi piga sim
0715422099
0746218111
0784422099