4 Bedrooms House for Rent at Msongola, Dar Es Salaam
Eneo la kibiashara lipo msongola njiapanda ya kivule, wilaya ya Ilala, eneo lina frem 6 za kisasa, ndani Kuna nyumba 3 Kila nyumba ina vyumba 4 vyote masters, sitting room dyniing jiko stoo public toilet,pia Kuna nafasi ya kutosha eneo lina fensi, ukubwa wa eneo ni viwanja 10 vya ft 50 kwa 50 ,eneo amelipima Lina hati,Bei 350 ml.eneo zuri kwa kufanya hospital au kupangisha apartments. #068491594 #0716974073