4 Bedrooms House for Rent at Saranga, Dar Es Salaam







STAND ALONE INAPANGISHWA IPO SARANGA KM/ 3
MUUNDO WAKE
INAVYUMBA 4 VYAKULALA MASTAR KUBWA SANA INASEBULE INADINING INAJIKO NA PABLICK TOILETY
PIA INACHOO CHA NJE INASEHEMU YASTOR
BAADHI YA VYUMBA AKUNA TAILIZY
INAGYUPUSAM INAALUMINUUM
MAJI YAPO YAKUTOSHA NA SIMTANK LIPO
KODI 300 X 6 SIO CHINI YA MIEZI IYO
KUONA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747