4 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Viwanja Vya Benki. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vinne
- Sebule
- Dinning
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Parking
- Paving
- Fence
Kodi 300,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga š 0688 412 890.