4 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE.)
- Vyumba vinne (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Public toilet
- Parking
- Paving
- Fence
Kodi 500,000 /=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji 📞 0688412890.