4 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


NEW STAND ALONE YA KISASA INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE TABATA SANENE
Bei: 600,000/ Per Month
Payment Terms: 6 Months in Advance
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:20,000
____________________________________
📍LOCATION: TABATA SANENE
DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍DISTANCE- Dakika 2 kutoka Main Road
➡️PROPERTIES OF THE HOUSE 🏠
__________________________________
📍Vyumba 4 Vya kulala
📍vyote master bedroom (vyote vina master)
📍Sebule kubwa full A/C
📍Dinning Room
📍Mafeni juu vyumba vyote
📍Jiko safi Makabati
📍Jiko kubwa la makabati
📍Stoo kubwa
📍Public toilet inside
📍Space parking Car
📍Peving block
➡️ITS SERVICES
________________
📍Maji dawasco 24hrs
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
➡️New Stand alone ya kisasa zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika
Kwa Mawasiliano Zaidi pigla 📞 0688 412 890.