4 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Habari!!!
Hii ni nyumba ya kisasa kabisa ya standa alone pekee inayopangishwa huko Tabata Segerea.
Sifa zake;
- Vyumba vinne vya kulala (1 kwenye chini na vitatu kwenye ghorofa ya juu)
- Vyumba vyote ni vya kujitegemea
- Sebule
- Dinning
- Jikoni lina makabati
- A/C
- Uzio wa umeme
- Electric fence
- CCTV
- Mtaa mzuri
Bei imewekwa kwa shilingi 1,500,000/=.
Masharti ya malipo: Miezi sita pamoja na security deposit.
Ada ya kutazama ni 20,000/= za kitanzania.
Ada ya kamisheni ya dalali ni shilingi 1,500,000/= za kitanzania.
Karibu!
Mawasiliano: Piga/WhatsApp 0688 412 890.