4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







400,000X6. RUGULUNI MANISPAA YA UBUNGO DK 7
STAND ALONE KUBWA SANA INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI. INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE ENEO KUBWA SANA UNAWEZA KUFUGA TAJIRI
===
Vyumba 4 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
==
Kodi 400,000 Kwa mwezi ร 6
===
Umbali dakika 7 Tu Kwa mguu toka kituoni
===
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679 956 863
0781 418 437
0759151524