4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







#Repost dalali_mshana_ubungo_kimara a_ubungo
#STAND_ALONE_FOR_RENT(#500K)
.
.
✔️VYUMBA VINNE VYA KULALA
✔️SEBULE KUBWA
✔️KIMOJA WAPO MASTER
✔️JIKO NZURI LENYE MAKABATI
✔️CHOO CHA FAMILIA
✔️UMEME LUKU YAKO
✔️MAJI YANAFLOW NDANI
✔️
✔️MAZINGIRA MAZURI SANA
.
.
KODI NI TZS 500,000/=×6
.
.
NYUMBA IPO MIGOMBANI KISUKURU TABATA
.
.
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI NA PARKING KUBWA YA KUTOSHA KABISA
.
.
SERVICE CHARGE NI TZS 15,000/=
Dalali Makini ubungo