4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







#Repost dalali_mkuu_ubungo_kimara
NYUMBA NZURI YA KUPANGISHA
#Location: external ubungo
Umbali dakika 6kwa mguu gari ya chini barabara rafiki sana
SIFA ZAKE
-vyumba vinne vya kulala
- Sebule jiko na choo ndani kimoja master
-
Umeme LUKU inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Nyumba inajitegemea yenyewe ndani ya gets
Gari mbili zilala
Panking kubwa
KODI YAKE Tsh. 800000/ malipo miezi sita
Kunafedha ya dhamana ya mwezi mmoja
Service Charge 20,000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI