4 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


๐ก NYUMBA YA KUPANGISHA โ TEGETA WAZO (Mita 600 kutoka Lami)
๐ Eneo: Tegeta Wazo โ ipo kwenye mtaa mzuri sana, tulivu, umbali wa mita 600 kutoka barabara kuu (lami)
Sifa za Nyumba:
๐๏ธ Vyumba 4 (3 ni Master bedrooms โ kila moja na choo chake)
๐๏ธ Sebule kubwa ya kifamilia
๐ฝ๏ธ Jiko + Sehemu ya kulia chakula (Dining)
๐ฝ Choo cha Public (cha wageni)
๐ Parking ya kutosha
๐ง Maji ya uhakika kila siku
โ
Mazingira salama na tulivu
โ
Inafaa kwa familia kubwa au mtu anayetafuta nafasi zaidi
๐ฐ Kodi: TSh 800,000 kwa mwezi
๐ Wasiliana:
#0689138795whatsapp
#0758998074๐