4 Bedrooms House for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 05/11/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π NYUMBA HII INA SIFA MY
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA SANA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 600,000/= X 6
π«π« NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE IPO WAZO HILL (MSIGANI) . UNAWEZA KUPITIA NJIA YA TEGETA NA UKAFIKA SITE AU UNAWEZA KUPITIA NJIA YA MADALE NA UKAFIKA SITE NA USAFIRI UPO WA KUTOSHA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI AU DALADALA UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJ
A
0753 989554
0773700963
=====