4 Bedrooms House for sale at Bagamoyo, Mbeya


NYUMBA YA KISASA YENYE HATI,VYUMBA VINE (4) TSHS.170 MILIONI, KIHARAKA/MINGOI.
Umbali wa mita chache tu kutoka Barabara ya Bagamoyo. Na ni-baada ya Daraja la Bunj- B,
Upande wa kulia ukielekea Bagamoyo.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
NI NYUMBA TULIVU YAKUHAMIA NA MAZINGIRA NI SALAMA.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548.
____________jKG
Vyumba vya kulala 4 (Masta 1)
Sebule,Jiko,Dining-room,Store na
Choo cha Familia ndani.
Nyumba ina AC, Garden na Parking salama yenye paving blocks.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.