4 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA: BUNJU
AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUP
DATE LISTED: 26/12/2024
HOUSE LOCATION: BUNJU B BLOCK 16
PLOT SIZE: 1,520 SQM
PRICE: 350 Million (MAONGEZI YAPO/NEGOTIABLE)
HOUSE DETAILS
- Nyumba ni ghorofa moja pamoja na servant quarters pembeni.
▫Ina Vyumba Vinne vya Kulala
◇Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1520
◇document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
◇Gorofa ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana
◇Pia ina servant cotta .
-Inapatikana karibu na nyumba za TBA
-Maji na umeme upo
-Nyumba imezungushiwa uzio
Site Visite: 50000
CONTACTS
Office: Bunju A
Mobile: 068 370 2330 / 065 715 9979
Email: kingdompropertiesgrouplimited@gmail.com