4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA YA KISASA, VYUMBA 4, TSHS.150 MILIONI TU,- GOBA KULANGWA/MAROBO.
Hii ni nyumba ya KUHAMIA.
Ipo umbali wa kilomita 3 tu kutoka Barabara ya Lami ya Madale.
Vyumba 4 (Masta 1)
Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Pia kuna Nyumba ndogo ya pembeni,
Yenye Chumba pamoja na Choo cha Wageni.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
+255 714 591 548
_____________mpg