4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam
Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Goba Kulangwa
Bei: Milioni 695 (Kuna Maongezi)
☑️Mita 100 Kutoka Lami
☑️Sqm 1000
☑️Vyumba 4, Vyote Ni Master, Sebule Dining Jiko Choo
☑️Huduma Zote Zipo
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Call & WhatsApp: 0787259766
Call: 0620200300
Viwanja Na Ofisi Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#tussu_realestatetz