4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 4, TSHS.550 MILIONI, GOBA NJIA YA MAKONGO.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba vyote vina Vyoo ndani.
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ina ACs, Parking kubwa,CCTVs,
Na Electric Fence.
NI YA HADHI KUBWA NA YAKUHAMIA.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema.