4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam
Nyumba Nzuri mno inauzwa Goba Kulangwa, ni ya 3 kutoka Lami, inavyumba vinne vyote self contained, Ina sebule mbili, CHUMBA cha kujisomea, Eneo ni 900sqm, HATIMILIKI ipo, Bei ni 680M tsh
Viewing charge 80k