4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


#Repost Dalalimbezibeach_semba
• • • • • •
NYUMBA_INAUZWA#IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA LASTANZA
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 630
MILIONI 350 MAONGEZI YAPO
__________________
NYARAKA ZA UMILIKI UKINUNUA LINATOKA JINA LAKO
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba vinne vya kulala Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! 🤔
____
BEI INAUZWA TSHS MIL 350
MAONGEZI YAPO
__
_
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE;
#0685 006223
#0718 759287
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA