4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo GOBA MAJENGO.
Ina vyumba 4 vya kulala viwili master.pia Ina study room
Nyumba ina Hati miliki
Eneo square meters 844
Umbali kutoka goba center ni km 3
Bei 210M maongezi yapo
Piga 0719190753