4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA NZURI INAUZWA – GOBA LASTANZA
Nyumba hii ya kisasa inauzwa ipo eneo tulivu la Goba Lastanza, umbali wa mita 900 tu kutoka barabara kuu ya lami (Goba Road).
Sifa za Nyumba:
Vyumba 4 vya kulala (kimoja ni master)
Sebule ya kifamilia (Sitting Room)
Jiko zuri lililojengwa kwa ubora
Sehemu ya kulia chakula (Dining)
Choo cha ndani cha wageni (Public Toilet)
Parking ya kutosha ndani ya uzio
Huduma Muhimu:
Maji safi na umeme tayari vimeunganishwa
Nyumba ni mpya kabisa, hujakaliwa
Umiliki: Hati Miliki (Title Deed)
Ukubwa wa Kiwanja: SQM 700
Bei: TZS 350 Million
Wasiliana Nasi:
Simu/WhatsApp: 0742 892 195
#nyumbazakisasa #nyumbainauzwa#houseforsale#houseforsalegiba#gobahouseforsale#nyumbanzuriyakuuza#nyumbanzuriyakisasa#nyumbayakisasadaressalaam#nyumbainauzwa