4 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani


ENEO ZURI LA EKARI MOJA LINA NYUMBA NNE NDANI LINAUZWA
Ni mkoa wa pwani kibaha kwa mathias
Nyumba zipo karibu na shule ya filbert bayi
unaingia na hiyo lami ya kuelekea jeshini msangani au jeshini nyumbu
Hapa kati unaingia kulia kutoka barabara ya Moro road km 1.5 tu
Nyumba kubwa ina vyumba 4 kimoja master, sebule, jiko, dinning, public toilet, stoo, na gereji
Na hizo nyingine waweza kuzitumia kama shule hospital lodge hotel nk
Eneo sqm 4000 lote lipo ndani ya fensi, eneo limepimwa hati itatoka kwa jina la mteja
Nje ipo fremu moja ya biashala
Bei mil 200 mazungumzo yapo kidogo
Maji umeme vipo ndani hapo
Boda elfu moja tu toka moro road
Service charge 50,000
Karibu sana mteja
Mawasiliano Whatsapp au call 0784 919 453,, call only 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
#hostel #home #business #regrann #hotel


















