4 Bedrooms House for sale at Kibamba, Dar Es Salaam
NYUMBA YENYE VYUMBA SITA(6) TSHS.119 MILIONI, HONDOGO, KIBAMBA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nyumba Ina uoande wa juu na wa Chini.
Vyumba vinbe(4) vipo juu (Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Ni umbali wa kilomita 3 kutoka Barabara ya Morogoro.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ni nyumba ya kisasa katika eneo tulivu na ndani ya Fensi.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.