4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI KISOTA IKO DAR ES SALAAM TZ BEI MIL 400 MAONGEZI YAPO UKUBWA WA ENEO SQMT 1500SQM ARE NYUMBA YA VYUMBA 4 VYAKULALA VYUMBA VYOTE NI MASTERS BEDROOM INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO NYUMBA INA SERVANT COTTA YA CHUMBA KIMOJA NACHOO KIPO NDANI YA NYUMBA HII UMBALI TOKA LAMI KILO MOJA UMEFIKA KWENYE NYUMBA NJOO TUMALIZE BIASHARA NYUMBA INA HATI MILIKI KABISA YAWIZARA YA ALIDHI KABISA YAWIZARA
0719 514377