4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa kigamboni#Mwembemdogo
Ni km19 kutoka ferry na mita300 t kutoka lami
Sifa;,,...
Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, vitatu ni master, na kimoja ni stadingroom, kuna sittingroom kubwa, Dinningroom, kitchenroom, publictoile, maji ya kisima pia na garden kwa nje.
Ukubwa wa Eneo lake;, #Sqm2400 yani ni nusu heka
Bei;, Million 250 maongezi yapo
Umiliki;, Hatikamili ya wizara
Not;... Nyumba ilioata changamoto kidogo ya shot ya umeme na kusababisha baadhi ya sehem kuharibika lakini mwenye nyumba yuko mbioni kuanza ukarabati na kuhakikisha kumaliza kabla mtu hajanunua.
Nipigie kwa magitaji na maelezo zaidi kupitia namba:,, 0656775637 0755489848