4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
#UNFINISHED HOUSE INAUZWA KIGAMBONI CHEKA
Unfinished house na kiwanja chake ukubwa sqm 4085 hapo Cheka.
Nyumba Ina Vyumba Vinne vya kulala Sebule kubwa Dinning Room Jiko kubwa mnoo Vyumba vitatu kati ya Vinne ni Master bedrooms Na Choo Cha Familia
Nyumba hii ambayo imebakiza finishing za tiles, rangi, gypsum, Umeme na aluminum window.
Ukubwa wa Eneo ni Sqmt 4085
Kiwanja kimepimwa na Kina Hati Miliki kutoka Wizarani
Bei ni 90M [#Maongezi yapo]
☎️0693 468394