4 Bedrooms House for sale at Kiluvya, Pwani







🇹🇿NYUMBA INAUZWA
Location: KILUVYA MADUKANI
Juu Pana vyumba 4 vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa jiko na public toilet
Na underground kuna vyumba 2 vyote master bedrooms
Price: Mil.59
#Maongezi Yapo Kidogo
Sales agreement kutoka serikal za mitaa
Umbali KM 2 usafiri Bodaboda 1000 na Bajaji zipo
Nyumba ina maji na umeme tayari
Nyumba inahitaji Tu finishings
Ukubwa wa ENEO SQM 600
Kupelekwa kuona nyumba elfu 25,000/=
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp