4 Bedrooms House for sale at Kiluvya, Pwani
BANDA LA VYUMBA VINNE (4) TSHS.17 MILIONI, KILUVYA KWA KOMBA.
Hii nyumba tayari kuna watu wanish hapo ingawa inahitaji maboresho.
Ipo mta Chace tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.