4 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA INAUZWA BINAFSI
IPO KIMARA SUKA DAR-ES-SALAAM-TZ
IKO UMBALI WA KILOMITA 2 TOKA MAIN ROAD
PLOT SIZE :SQM 1167
PRICE : MIL 280
UMILIKI : TITLE DEED (HATI KUTOKA WIZARA YA ARDHI)
SIFA:-
-INA VYUMBA VINNE VYA KULALA
-VYUMBA VITATU NI MASTER
-JIKO NA STOO YAKE
-DINNING
-SEBULE MBILI
-CHOO CHA PUBLIC
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI
TUWASILIANE WHATSAPP +255 658 582 977,, CALL +255 784 919453
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa ๐