4 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA UZWA MILION 55 maongezi yapo
___________________________
UKUBWA WA ENEO SQMT
500 NYUMBA HII INA WAPANGAJI
__________________________
LOCATION;
KIMARA MWISHO PIA UNA WEZA PITIA KIMARA SUKA USAFIRI BAJAJI 1000 BODA 1500 UKISHUKA DAKIKA 5 MGUU NA GARI INA FIKA HADI HAPO
__________________________
SIFA ZAKE
INA VYUMBA 4
KIMOJA WAPO MASTER
SEBLE
PUBLIC TOILET
UMEME UPO
MAJI YAPO
_______________________
TYRIES GPSUM MADILISHA YA KIOO
INA SPACE KUBWA
BEI MILIONI : 55
_______________________
GHARAMA ZA KUJA KWENDA KUKAGUA NYUMBA 30000/=
0746 433 854