4 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam







NYUMBA YA VYUMBA VINNE(4) NA MADUKA 5, TSHS.370 MILIONI, KINYEREZI.
Ipo Mtaa mzuri, tulivu na jirani na Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 4 vya kulala ( Masta 1)
Sebule, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ipo ndani ya Fensi na pia kuna Kisima (Borehole)
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.