4 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba ya Kisasa Inauzwa Kinyerezi Mbuyuni!
๐ Vyumba 4 (3 master), sebule ya starehe, dining, jiko la kisasa lenye makabati, store, choo cha umma, kisima, tanki la maji, parking, paving na uzio.
๐ณ Mtaa mzuri, tulivu, na salama.
๐ Ukubwa: 800 sqm.
๐ฐ Bei: Mil 230 (maongezi yapo).
๐ Piga simu sasa: 0688 412 890.
Chukua nafasi yako ya kumiliki nyumba ya ndoto yako leo!