4 Bedrooms House for sale at Kisima, Kilimanjaro







MABOSS ZANGU NYUMBA IYO YA KISASA KABISA NZURI SANA
INA UZWA IYO NYUMBA KWA TSH MIL 115 PESA YA KITANZANIA
NA KWA DOLLARS 42000sd
NYUMBA MPYA KABISA INA FULL FENCE GARI NDOGO 3 ZINA INGIA NDANI
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA VYUMBA VYOTE NI MASTERS BEDROOM
INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE NA PUBLIC TOYLETY INA KISIMA CHAMAJI NA UMEME UPO WA LUKU
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITAR 600
INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
NJOO UONE BOSS WANGU HII SI YA KUIKOSA KABISA IPO MBAGALA CHAMAZ DOVYA JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZ MTAA WA DOVYA
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI DAKIKA 3 TU
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE
TUPIGIE CM
0672580580
0678588718. WHASP