4 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 4,TSHS.53 MILIONI,KIVULE SOKONI-STAND.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 550.
UMILIKI NI MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 vya kulala.
Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
____________mskv