4 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 250 ๐น๐ฟ maongezi yapo nyumba ipo madale - Dar es salaam - Tanzania
Ina Vyumba Vinne vya Kulala
Vyote - Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen
Store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt ๐๐ป 970
document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
maji safi dawassa
Kutoka bara bara yarami nimita 300 tu
Service charge tsh. 30000/= tu kwenda kuona nyumba
BEI MILIONI ๐๐ป 250 maongezi ๐ ๐ฒ