4 Bedrooms House for sale at Majohe, Dar Es Salaam






NYUMBA YAKUMALIZIA, VYUMBA VINNE (4) TSHS.25 MILIONI,MAJOHE KWA-NGOZOMA.
Eneo ni GONGOLAMBOTO MAJOHE(KWA-NGOZOMA)
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 360.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nyumba Inajitegemea.
Vyumba 4( Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.