4 Bedrooms House for sale at Mapinga, Pwani


๐ NYUMBA INAUZWA โ MAPINGA SHULE
๐ Location: Mapinga โ Umbali wa mita 500 kutoka Barabara Kuu ya Bagamoyo
๐ Ukubwa wa Kiwanja: SQM 1000
๐ Hati: Hati Kamili ya Wizara ya Ardhi
๐๏ธ Mtaa: Upo kwenye mtaa mzuri, wa kisasa na wa makazi
SIFA ZA NYUMBA:
๐๏ธ Vyumba 4 vya kulala (2 ni Master)
๐๏ธ Sebule
๐ฝ๏ธ Dining Room
๐ณ Jiko
๐ฆ Store
๐ง Nyumba bado mpya โ mambo madogo tu ya kumalizia uingie.
๐ฐ BEI: TSH Milioni 200 (๐ mazungumzo yapo)
๐ Wasiliana Nami:
๐ฒ 0687800788
๐0713958395