4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam





HBARI ZA MUDA HUU MABOSS ZANGU DALALI WENU RICK LOSS NAWALETEA HII NYUMBA NZURI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA YA KUTUPA SANA TSH MIL 45 TU
NYUMBA NI NZURI SANA KUBWA YA KISASA NA INA BONGE LA ENEO
NYUMBA IPO MBAGALA KINGUGI KWA DUMBA RUME NI NYUMA YA DAR LIVE ZAKHEM KILOMETERS 2.5 KUTOKA ZAKHEM DAR LIVE
NA NUSU DAKIKA TU KUTOKA STEND YA DUMBA RUME
UKUBWA WA ENEO SQUARE ⬛️ MITER 800
INA DOCUMENTS YA MAN SPAA YA TEMEKE
YA MAKAZI
VYUMBA VIPO 4 VYA KULALA VYUMBA VIWILI NI MASTERS BEDROOM
INA STTING ROOM NA DAININGI ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET 🚻
INA KISIMA CHA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU #0683491594 #0716974073