4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 4 vya Kulala stingiroom dainingiroom master toilet pclic kicheni stoo Nyumba Hati yake ya serekari ya mtaa ukubwa sqm 600 Nyumba ina kisima cha maji Nyumba ina boikota ya vyumba 4 vya juu vyumba 2 na chini vyumba 2/ Nyumba aipo Mbali Na Barbara kuu ya rami kama dk chache kufika k Nyumba bei ml 230
0759128747 } { 0624436503
0712058357 } { whatsapp