4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
NYUMBA KALI, VYUMBA VINNE (4) TSHS.60 MILIONI, MBAGALA CHAMAZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni nyumba mpya YAKUHAMIA.
Vyumba 4 ( Masta 1)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Parking yakutosha.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
____________r
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.