4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


*Nyumba ya kisasa inauzwa Mbezi Beach -Africana ya Juu*
-Nyumba ni Underground ina vyumba vinne vya kulala, master moja, dining room, sitting room, kitchen na public toilet.
-Plot size Sqmtrs 1,010
-Document: Title Deed
*Bei shilingi milioni 280 maongezi yapo*